| Mwanamuziki toka Afrika Kusini Rebeca Malope akiperfom kwenye tamasha la Pasaka jijini Mwanza |
| Mwanamuziki John Lisu kutoka Dar es salaam akienda sawa na watu kwa wimbo Yu hai Jehova |
| Kutoka Zambia Mwanamuziki Ephraim Sekeleti akienda sawa na watu |
| Upendo Kilahiro akiwaimbisha Mashabiki ndani ya Tamasha la Pasaka |
| Upendo Kilahiro akiwa na Sara K kutoka Kenya wakiperfom wimbo wa Ni jambo gani Mungu asiloliweza |
| Upendo Nkonne akiwaimbisha watu kwa pamoja ndani ya Tamasha la pasaka Mwanza |
| Kutoka Kenya Sara K.akienda sawa na mashabiki waliokua wamefurika ndani ya uwanja wa CCM Kirumba |
| Upendo Nkonne |
| Rose Mhando nae akamalizia katika tamasha hilo kwa show ya nguvu iliyowashusha mashabiki toka kwenye majukwaa na kushuka kwenye steji ili kuimba nae |
| Mkurugenzi wa Msama Promotion,Mr.Alex Msama akitoa hotuba fupi katika ufunguz wa tamasha hilo la Pasaka jijini Mwanza |
| Edson Mwasabwite mzee wa Nimetoka Mbali akienda sawa na mashabiki |
| kundi la the Voice Accapela nalo halikua nyuma katika kulishambulia jukwaa |



![]() |
Mh William Ngereja akiwa amenyanyua albam
mbili za muimbaji Grace Mwikwabe baada ya kuzizindua,kulia ni Alex
Msama mkurugenzi wa Msama Promotion.
|



