Mwanamuzi maarufu wa nyimbo za injili kutoka jijini Dar es Salaam Upendo Kilahiro pamoja na Mume wake Amon Kilahiro jumapili hii wamewaongoza maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam katika Ibada ya Kumwabudu Mungu jioni ya Leo ambayo imefanyika live na kurekodiwa ambapo baadae itapatikana katika mfumo wa DVD .
Katika Live Recording hiyo mwanamuziki huyo amesindikizwsa bega kwa bega na wanamuziki mbalimbali machachari wa muziki wa injili toka Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na Addo November, Glory Kilahiro na The Voice.
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam waliojitokeza katika Live Recording hiyo walionekana wakimwabudu Mungu Muda wote wa Ibada hiyo ya kusifu na Kuabudu.
picha za tukio hilo ni kama zinavyoonekana hapa chini.
Addo November akienda Sawa na Upendo Kilahiro
|

Ma Mc wa Event Pastor Mwita pamoja na Double G, Godwin Gondwe wakienda sawa |
Mpiga Saxerphone Maarufu Mise Anaeli akienda sawa katika Live Recording ya Upendo Kilahiro
|
Mise Anaeli akikamua tarumbeta |
Mise akienda sawa na Upendi Kilahiro |
Addo November akienda Sawa na Upendo Kilahiro
|
Music Arranger Samuel Yona akiwa kikazi zaidi
|
Fredy Msungu akiwa anaenda Sambamba na Addo na Upendo Kilahiro |
Wadau wa Muziki wa Injili Wakiwa ndani ya Ukumbi |
The Voice Wakiimba Acapella Upendo Kilahiro |
Credits:Samsasali blog