Mwanamuziki Wa Injili anayejulikana kwa jina la Bomby Johnson ambaye ameshawahi kushirikiana na Wanamuziki wengi tofauti tofauti wa muziki wa Injili katika albam zao kama Vile Miriam Lukindo wa Mauki, Upendo Nkone, John Lisu, Amani Kapama, amefanya Tamasha la Kusifu na Kuabudu lenye jina la “Worship In The Terbanacle” yaani “Ibada Katika Hema La Kukutania”.
Katika Tamasha hilo lililoanza majira ya saa 9 na nusu alasiri lilimalizika majira ya saa 1:45 Usiku ambapo mpaka muda huo bado watu walikuwa katika Ukumbi wa VCCT.
Katika Ibada hiyo ya Kusifu na Kuabudu Mwanamuziki Bomby Johnson alisindikizwa na wanamuziki John Lisu, Meshack Kutoka VCCT, David Abel, Paul Clement, Rivers Of Joy International, pamoja na mpiga saxophone maarufu Mise Anael.
Bomby Johnson akiachilia maupako |
Katika Ibada hiyo ya Kusifu na Kuabudu Mwanamuziki Bomby Johnson alisindikizwa na wanamuziki John Lisu, Meshack Kutoka VCCT, David Abel, Paul Clement, Rivers Of Joy International, pamoja na mpiga saxophone maarufu Mise Anael.
Ma Mc Wa Event Ya Bomby Johnson Ze Blogger akiwa na Fred Wakienda Sawa
|
Mzee wa Kupuliza Moses Zamangwa akiwa ndani ya Uwepo |
Meshack akifungua rasmi tamasha |
"Najisikia Salama, Najisikia Salama, Nikiwa Mikononi Mwake Najisikia Salama.....Baadhi ya Maneno ya Wimbo aliokuwa akiimba Bomby Johnson |
David Abel akiimba wimbo Wa Worship |
Jioni ya leo The Voice wamekuja Kivingine sana |
Dr. Huruma Nkone Mchungaji Kiongozi wa VCCT akifungua tamasha kwa Maombi |
Wazee wa 4 By 4 Wakiwa kikazi zaidi |
Bomby Johnson akiwa amepanda Jukwaani |
Dr. Huruma Nkone akiachilia maombi |
Backers Wa Bomby Wakiwa Wanaenda Sawa |
Bomby Johnson akiachilia maupako |
Hapana Chezea Ubishi Ukasababisha aletwe Mtoto Jukwaani |
Najisikia salama, Najisikia salama Nikiwa Mikononi Mwako Najisikia Salama |
John Lisu akiwa Jukwaani |
Ndani Ya Uwepo |
Tito akiwa Kazini |