Mtoto mmoja huko Vatican ameibua kali ya mwaka baada ya kwenda kukaa kwenye kiti cha Papa Francis na baadae kwenda kuanza kumkumbatia Papa wakati Papa akitoa speech huko St.Peter's Square Vatican licha ya makadinali kujitahidi kutaka kumtoa stejini hapo lakini papa akamuachia zaidi nafasi mtoto huyo hadi kukaa kwenye kiti chake na hata
Mtoto huyo alikua ni moja ya watoto ambao walikua wamealikwa na kupewa kipaumbele kukaa karibu na Papa Francis wakati akihutubia kwenye maelfu ya familia zilizokua zimejumuika pamoja katika kusanyiko kubwa la familia huko Vatican October 26 mwaka huu 2013