![]() |
| Pastor Abel Majaliwa wa DPC |
![]() |
| Bomby Johnson kikazi zaidi....palikua hapatoshi hapo |
![]() |
| Tumaini Ona ndani ya Tabasam panaa |
![]() |
| Pastor Safari Paul katika uwepo |
![]() |
| Ma Vocalist |
![]() |
| Moses Zamangwa akienda sawa na Saxaphone |
![]() |
| Neema Gospel Live Choir kutoka AIC Chang’ombe wakimsifu Mungu. |
![]() |
| Kijana wa GWT, Paul Clement akiimba Mpenzi wa karibu. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa TAG Pastor Ron Swai akifungua rasmi Live Recording ya John Lisu |
![]() |
| Ma MC wa tukio Godwin Gondwe kutoka IPP pamoja na Sam Sasali. |
![]() |
| Makofiiiiiii kwa John Lisu akipanda jukwaani tafadhaliiiii |
![]() |
| Christina Halai akienda sawa, |
![]() |
| Godwin akiwa uweponi. |

![]() |
| John Lisu na Timoth Kaberia toka Kenya wakiwa Kikazi zaidi |
![]() |
| John Lisu na kundi lake wakipiga picha ya pamoja baada ya kazi nzuri. Picha by Samuel Sasali na Fred Kilago. |

















