Serikali ya Tanzania imempoteza ndugu Mtanzania Mwanajeshi kwa jina Rajab Ahmad Mlima katika Vita vya waasi huko Congo. ambapo Alikuwa katika Jitihada za kuwalinda wakazi wa mji wa Kiwanga nchini humo pamoja na wanajeshi wengine wa Umoja wa Mataifa
kwa mujibu wa shirika la Habari la Reuters taarifa yake inasomeka hivi
"" A U.N. peacekeeper was killed and another injured during a third day of fighting between government forces and rebels in eastern Congo on Sunday, as the army pressed toward the rebel stronghold of Rutshuru.The U.N. mission in Congo (MONUSCO) said the Tanzanian peacekeeper was killed during fighting with M23 rebels in the town of Kiwanja, north of the regional capital Goma, the largest city in eastern Congo.
unaweza pia isoma habari hiyo kwa kirefu zaidi hapa
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/544604-tanzanian-u-n-peacekeeper-killed-as-congos-army-gains-ground-against-rebels.html