Kundi maarufu la muziki wa Gospel toka nchini Afrika Kusini Joyous Celebrations limepata pigo kubwa kwa kuondokewa na Aliyewahi kuwa mshindani wa shindano la Cocacola pop star na mwimbaji wa kundi hilo mahiri mwanakaka Emanuel SK Motubatsi ambaye amefariki dunia siku ya alhamisi kwao Pretoria, Afrika ya kusini.
Chanzo cha kifo chake bado hakijaelezwa ingawa kwa mujibu wa taarifa za awali kama zilivyopostiwa kwenye account yake ya Facebook zimeeleza kwamba mwanamzuki huyo amekatisha uhai wake yeye mwenyewe kwa kujiua, ushahidi unaotokana na ujumbe uliowekwa na mwimbaji mwingine wa zamani wa Joyous mwanadada Tebello Sukwene, pamoja na watuma ujumbe wengine.
Emanuel atakumbukwa kwenye kundi la Joyous ambako ameshiriki katika album ya 10 na 11 akitambulishwa zaidi kwa wimbo wa "You raised me up" na Sefefo sa moya" alizoimba akiwa na kundi hilo, huku kitambulisho chake kikubwa kikiwa ni mtindo wa nywele zake fupi alizokuwa ameweka rangi nyeupe.
baadhi ya sifa nyingine alizokua nazo mwanamuziki huyo ni pamoja na kuwa na sauti nzuri sana iliyomfanya akashika nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Cocacola pop star mwaka 2003 kisha akaamua kujiunga na kundi la Joyous Celebration baada ya muda. Lakini pia marehemu alikuwa na uwezo mkubwa wa upigaji kinanda na vyombo vingine bila kusahau uimbaji.
katika ujumbe uliopostiwa katika facebook page ya kundi la Joyous Celebrationa kundi ambalo ndio amefanya nalo kazi ujumbe unasomeka hivi
"""It is with sadness and grief to announce a former member's passing. He was popularly known as SK. Many will remember him for his solo; YOU RAISED ME UP. He was a true artist and commonly graced the cabaret and musical performances in theatrical appearances.
"Time and chance is given to us all to shine. The earth is our stage let your light shine in the hearts of many even when you have bowed out" Manu Ndlovu
As MY Joyous Celebration we send our prayers, voices of praise and worship, as well as our support to his family and dear friends. We can only say "Goodnight SK & Welcome Home"