Usiku wa kuamkia jumamosi hii wanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza wamekuwa na mkesha wa kusifu na kuabudu ambao umepewa jina la Revival flames Campus Night, shughuli hii ilienda sambamba na mahubiri, lakini nafasi kubwa ilitawaliwa na Sifa na kuabudu.
TAFES Praise team na vikundi vingine vilianzisha shughuli za kusifu na kuabudu, na baadae shughuli ilikuwa chini ya uongozi wa kundi la Glorious Worship Team, kutoka Dar es salaam.
Tazama tukio zima namna lilivyonoga kwa kutazama picha za tukio zima hapa chini
photos by Elia Migongo
Tazama tukio zima namna lilivyonoga kwa kutazama picha za tukio zima hapa chini
photos by Elia Migongo
timu ya Wachungaji wakienda sawa na nyimbo zilizokua zikiimbwa kwenye campus night |
Timu ya kusifu na kuabudu toka TAFES katika perfomance |
Paul Clement wa kundi la Glorious Worship Team akiongoza timu nzima ya GWT na mamia ya watu katika kumsifu Mungu ndani ya Campus Night SAUT |
Emma Solo,mpigaji machachari wa gitaa la solo kutoka GWT. |
palikua hapatoshi kazi ilikua ni moja tuu kumsifu Mungu |
mmoja ya watu ambao walishindwa kujizuia katika kumchezea Mungu na kuamua kupanda juu ya Spika iliyokua stejini |