Amakweli dunia imejaa kila aina ya maajabu,kikawaida tumezoea kuona filam za wanyama ambapo kanuni almaarufu kama the Law of the Jungle au sheria ya porini hua inasema kwamba wababe wa pori ndio hustahimili porini na kuishi maisha marefu kwa kuwageuza kitoweo wenzao.
Leo hii mda wangu wa blog hii tazama picha za tukio hili la kusisimua chui ameweza kumuopoa mamba toka majini na kumgeuza kitoweo tukio ambalo hua ni nadra sana kutokea
Mpiga picha mashuri Paul Donahue alifanikiwa kumpiga picha chui wakati yuko kwenye majani wakati anawinda mpaka anaingia kwenye maji na kufanikisha kumpata mamba kama windo lake. Tukio ili lilitokea kwenye mto wa Tres Irmãos ulioko katikati mwa nchi ya Brazil huko Amerika ya Kusini.

Chui akiingia majini |
Hapa mamba akitoka majini baada ya kuzidiwa ujanja na chui |
Mamba akijaribu kukimbia |
Mamba akijaribu kujitetea |
Lakini ilifikia mahali akawa mpole kwa chui |
Mamba kashakuwa mpole kwa chui |
chui akimuopoa Mamba toka majini tayari kwa kitoweo |