Kituo cha radio cha kwa neema Fm cha jijini Mwanza ambacho mapema mwaka huu kilifungiwa na kuamriwa na serikali ya Tanzania kupitia TCRA kusitisha urushaji wa matangazo yake kwa muda wa miezi 6 ,kutokana kutuhumiwa kuhusika na uchochezi wa kidini hususani katika suala tata la uchinjaji wa kitoweo cha nyama hatimaye muda wa kifungo hicho umemalizika na kituo hicho kitaanza kurusha matangazo yake kwa mara nyingine hivi karibuni
kwa mujib wa chanzo kimojawapo cha habari,Radio kwa neema fm 98.20 Mhz ya jijini Mwanza ambayo ipo chini ya Bishop Mpemba, itaanza kusikika kwa mara nyingine hewani kuanzia siku ya Jumatano August 28,mwaka huu 2013 kuanzia majira ya saa 11alfajiri.