Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, amepata upinzani toka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa nchi hiyo kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusiana na kifo cha aliyekuwa rafiki yake mkubwa ,Rais wa Venezuela hayati Hugo Chavez kilichotokea jumanne wiki hii.
Moja ya kauli aliyoitoa Rais Ahmadinejad alisema kwamba
"Hugo Chavez atafufuliwa na Yesu Kristo siku ya Mwisho" kutokana na mchango wake mkubwa kwa wananchi wa Venezuela.
Ahmad Khatami, ni moja ya Viongozi wakubwa wa kidini wa nchi hiyo na mshirika mkubwa wa kiongozi wa Kiroho wa nchi hiyo Ayatollah Ali Khamenei.
kiongozi huyu ameibuka na kumkosoa Rais Ahmadinejad akidai kuwa Rais huyo ameenda mbali sana kwa kutoa matamshi hayo kua Chavez atafufuliwa na Yesu siku ya Mwisho.
akisisitiza zaidi juu ya msimamo wake hiki ndicho alichokisema
"The president is well aware that such a tribute will provoke reactions in our religious institutes … He could have sent a diplomatic message with no religious connotations."
Siku ya Jumatano wiki hii Baraza la mawaziri la nchi ya Iran lilitangaza kua siku ya maombolezo kwa kifo cha Rais wa Venezuela Hugo Chavez aliefariki kwa Ugonjwa wa Kansa.
ni katika siku hiyo ndipo Rais Ahmadinejad alimuandikia barua yenye salaam za rambi rambi makam Rais wa wa nchi ya venezuela anayeongoza nchi hiyo kwa sasa,Nicolás Maduro Barua iiliyokua na maelezo yafuatayo
"Chavez is alive, as long as justice, love and freedom are living. He is alive, as long as piety, brightness, and humanity are living,"
"He is alive, as long as nations are alive and struggle for consolidating independence, justice and kindness. I have no doubt that he will come back, and along with Christ the Savior, the heir to all saintly and perfect men, and will bring peace, justice and perfection for all."
Rais Mahmoud Ahmadinejad akiwa na Rais Hugo Chavez enzi za uhai wake |