katika kuhakikisha anawafikia wakristo wote Duniani kwa njia ya mitandao ya kijamii, Papa Benedicto XVI amejiunga na mtandao wa Twitter na kupokelewa na mamilion ya watu (Followers) waliojitokeza katika mtandao kwa lengo la kupata updates mbali mbali zitakazo kuwa zinapostiwa na Papa Benedicto XVI.
kwa mujibu wa kanisa la Roman Catholic , akaunti hii mpya ya papa ambayo kwa sasa ipo live katika mtandao huo wa twitter ikitumia user name @Pontifex, papa ataanza kupost kwa mara ya kwanza December 12.
Tofauti na akaunti za watu wengine katika mitandao ya kijamii,Akaunti hii haitatumika kupost mambo binafsi ya Papa, bali itatumika katika kupost maneno ya hekima, na mambo ya kiroho kwa lengo la kuwafikishia waumini ujumbe wa kiroho utakao wafanya waumini wamuelewe Mungu katika maeneo yote wanamoishi.
Mshauri mkuu wa masuala ya Habari Vatican Greg Burke amesema kwamba akaunti hii pia itatoa fursa kwa waumini kuuliza maswali ambapo Papa atakuwa akiyajibu mwenyewe kupitia kitufe kitachokuwepo katika akaunti hiyo kwa jina #askpontifex.
hiki pia ndicho alichokisema Greg Burke Mshauri mkuu wa masuala ya Habari Vatican
"All the Pope's tweets are the Pope's words. Nobody is going to be putting words into his mouth,"
The tweets will be translated into several languages, including Spanish, English, Polish and Arabic. "This is the new market of ideas and the Church has to be there. We want to use any method to spread the message. It's cost-effective and not very labour intensive and it is aimed at young people."
Picha nyingine za Papa Benedicto XVI zipo hapa chini
kwa mujibu wa kanisa la Roman Catholic , akaunti hii mpya ya papa ambayo kwa sasa ipo live katika mtandao huo wa twitter ikitumia user name @Pontifex, papa ataanza kupost kwa mara ya kwanza December 12.
Tofauti na akaunti za watu wengine katika mitandao ya kijamii,Akaunti hii haitatumika kupost mambo binafsi ya Papa, bali itatumika katika kupost maneno ya hekima, na mambo ya kiroho kwa lengo la kuwafikishia waumini ujumbe wa kiroho utakao wafanya waumini wamuelewe Mungu katika maeneo yote wanamoishi.
Mshauri mkuu wa masuala ya Habari Vatican Greg Burke amesema kwamba akaunti hii pia itatoa fursa kwa waumini kuuliza maswali ambapo Papa atakuwa akiyajibu mwenyewe kupitia kitufe kitachokuwepo katika akaunti hiyo kwa jina #askpontifex.
Greg Burke Mshauri mkuu wa masuala ya Habari Vatican |