Watu 700 wamempokea Yesu katika tukio kubwa la Kihistoria ambalo limefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya mkoa wa Singida lililopewa jina la Rise and Shine Youth and Students Festival ambapo ndani yake kuliambatana na campus night kubwa ambayo kwa mara ya kwanza ilifanyika mkoani Singida na kuhudhuriwa na maelfu ya Vijana na wanafunzi wa vyuo mbali mbali vilivyopo mkoni Singida..
Tukio hili kubwa la Campus night linakuja ikiwa ni sehem ya kumshukuru Mungu kwa Mtumishi wa Mungu Prosper Alfred Mwakitalima baada ya kuokoka kutoka kwenye ajali mbaya ya gari iliyotokea tarehe 23 November mwaka 2011.
Hiki ndicho ndicho alichokisema
""""NOV 23rd will always be a thanks giving day in my life... The day like this, nov 23rd 2011, God saved my life. I celebrate this day by a historic event in Singida that will bring athousands of students to Christ. SINGIDA YOUTH and STUDENTS FESTIAVAL. Nimeadhima moyoni mwangu kila tarehe 23rd Nov from now till I die, I'l be celebrating by doing an event that will bring numerous of souls to Christ. NA MUNGU NISAIDIE""
alisema Prosper Alfred Mwakitalima
kwa mujibu wa Chanzo cha Habari hii, Papaa Sam Sasali the Blogger, Campus Night hii iliandaliwa na Kanisa la Jerusalem Temple kama Wenyeji chini Ya Bishop Alfred Mwakitalima Kwa Kushirikiana na Kanisa la VCCT Chini ya Dr. Huruma Nkone na Kuratibiwa na Events Managers Prosper Mwakitalima, Samuel Mkuyu na Samuel Sasali Ze Blogger
Mkesha huo Mkubwa Ulifunguliwa na Bishop Mwakitalima na baadae Mnenaji Mkuu wa Mkesha Huo Dr. Huruma Nkone alileta Neno la Mungu ambapo zaidi ya wanafunzi 700 Walimpa Yesu Maisha Yao Katika usiku huo katika Viwanja Hivyo.
kwa upande wa vikundi vya Praise and worship Mkesha huo uliongozwa na Rivers of joys International praise and worship team kutoka kanisa la VCCT la Jijini Dar,mwanamuziki Steven Wambura,Aman Kapama na Bombi Johson pamoja na Mass Choir ya Wanafunzi wa mkoa wa Singida.
matukio ya Event hiyo ni kama inavyoonekana hapa chini
Dr.Huruma Nkone wa kanisa la VCCT akiwaongoza watu sala ya toba katika mkesha huo mkoani Singida |
hivi ndivyo ajali ilivyokuwa ambapo pamoja na kuharibika kote huku bado Mungu alimponya Prosper Alfred Mwakitalima na kumtoa ndani ya gari hilo akiwa salama hadi leo. |
""""NOV 23rd will always be a thanks giving day in my life... The day like this, nov 23rd 2011, God saved my life. I celebrate this day by a historic event in Singida that will bring athousands of students to Christ. SINGIDA YOUTH and STUDENTS FESTIAVAL. Nimeadhima moyoni mwangu kila tarehe 23rd Nov from now till I die, I'l be celebrating by doing an event that will bring numerous of souls to Christ. NA MUNGU NISAIDIE""
alisema Prosper Alfred Mwakitalima
kwa mujibu wa Chanzo cha Habari hii, Papaa Sam Sasali the Blogger, Campus Night hii iliandaliwa na Kanisa la Jerusalem Temple kama Wenyeji chini Ya Bishop Alfred Mwakitalima Kwa Kushirikiana na Kanisa la VCCT Chini ya Dr. Huruma Nkone na Kuratibiwa na Events Managers Prosper Mwakitalima, Samuel Mkuyu na Samuel Sasali Ze Blogger
Mkesha huo Mkubwa Ulifunguliwa na Bishop Mwakitalima na baadae Mnenaji Mkuu wa Mkesha Huo Dr. Huruma Nkone alileta Neno la Mungu ambapo zaidi ya wanafunzi 700 Walimpa Yesu Maisha Yao Katika usiku huo katika Viwanja Hivyo.
kwa upande wa vikundi vya Praise and worship Mkesha huo uliongozwa na Rivers of joys International praise and worship team kutoka kanisa la VCCT la Jijini Dar,mwanamuziki Steven Wambura,Aman Kapama na Bombi Johson pamoja na Mass Choir ya Wanafunzi wa mkoa wa Singida.
matukio ya Event hiyo ni kama inavyoonekana hapa chini
Bishop Mwakitalima akifungua mkesha huo kwa Maombi |
the Emperor kikundi cha Gospel hip hop kikiwa on the stage kwa perfomance |
Mpelo akiwa na praise and worship team wakimsifu Mungu |
Aman Kapama mmoja wa wapiga drums wakali hapa Tanzania nae alikuwepo ndani ya tukio hilo kama anavyoonekana hapa |
Crew ya wanamuziki iliyokwepo siku hiyo ilikua hivi |
Samuel Yona |
Dr.Huruma Nkone akifatilia kwa makini matukio yanayoendelea jukwaani |
Papaa Sam Sasali na Mc Chavalla |
twende kaziiii |
Mass Choir ya wanafunzi |
sehem ya umati wa watu waliohudhuria festival hiyo |
Dr.Huruma Nkone akihubiri katika campus night hiyo |
Bishop Yona Sulemani na Bishop Mwakitalima |