Mwanamuziki wa nyimbo za injili hususan nyimbo za kusifu na kuabudu Afrika Mashariki na kimataifa John Lisu Ameelezea kukabiliwa na changamoto ya hali hewa ya baridi kali akiwa Nchini Norway katika Huduma yake ya kumtumikia Mungu katika kusifu na kuabudu.
John lisu ameelezea kuwa hali ya baridi kali nchini Norway inampa changamoto kwa kiasi kikubwa kwani ni tofauti na hali ya hewa ya Tanzania ambapo mwanamuziki huyu amekuwa akiishi kwa muda mrefu huku akifanya huduma yake ya kusifu na kuabudu.
katika moja ya status yake ambayo John Lisu amepublish katika moja ya mitandao ya kijamii yani facebook akiwa nchini Norway inasomeka kama inavyoonekana hapa chini
"""""
Nimeamka natetemeka na baridi vidole hata kupiga guitar vinashindwa na wenyeji wangu wanasema sasa ni wakati wa joto kali,ikiwa baridi sijui itakuwaje"""".
moja ya matukio katika huduma ya kusifu na kuabudu ambayo John Lisu amekuwa akimtumikia Mungu ni kama inavyoonekana hapa chini na hapa John Lisu alikua nchini Kenya akihudumu
John lisu ameelezea kuwa hali ya baridi kali nchini Norway inampa changamoto kwa kiasi kikubwa kwani ni tofauti na hali ya hewa ya Tanzania ambapo mwanamuziki huyu amekuwa akiishi kwa muda mrefu huku akifanya huduma yake ya kusifu na kuabudu.
katika moja ya status yake ambayo John Lisu amepublish katika moja ya mitandao ya kijamii yani facebook akiwa nchini Norway inasomeka kama inavyoonekana hapa chini
"""""
Nimeamka natetemeka na baridi vidole hata kupiga guitar vinashindwa na wenyeji wangu wanasema sasa ni wakati wa joto kali,ikiwa baridi sijui itakuwaje"""".
John Lisu na mkewe, Nelly Kaisi-Lisu |