Takribani watu 15 wameuawa na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa wakati watu waliokuwa na silaha walipokivamia Chuo kimoja katika mji wa Kenya wa Garissa karibu na mpaka na Somalia hii leo
Hizi ni picha za awali za matukio ya shambulizi la chuo kikuu cha mji wa Garrissa nchni Kenya ambapo takriban watu 6 wamedaiwa kuuawa kufikia sasa huku 29 wakijeruhiwa.