Pastor Zakayo Nzogere wa kanisa la Mwanza International Community Church(MICC) la jijini Mwanza,Tanzania, siku hii ya Christmass amepata fursa ya kuongoza Ibada maalum ya Christmas iliyojumuisha makanisa mbali mbali ya kipentekoste jijini Seoul nchini Korea Kusini.
Ibada hiyo iliyofanyika majira ya saa tisa alasiri kwa saa za Korea kusini na saa tatu asubuhi kwa saa za afrika mashariki Pastor Zakayo alipata pia fursa ya kulead katika praise and worship na baadae kuhubiri neno la Mungu katika Ibada hiyo...
akiongea na blog hii akiwa nchini Korea Kusini pastor Zakayo amesema
"Hii ni Ibada
ya Krismas
iliyojumuisha
International
Churches/Ministries
za Jijini Seoul.
Mungu alinipa
heshima ya
kuongoza ibada hii!
Zaidi ya watu 2,000
walihudhuria.
Asanteni kwa
maombi yenu""
katika moja ya nukuu zake alizozitoa kabla ya kuanza kwa Ibada hiyo pastor Zakayo alisema..
"Najiuliza mimi ni nani hadi kupewa heshima hii? Nampa Mungu utukufu! Plz niombee ili watu wasione tuu Mwafrika, bali Mungu aguse maisha yao!""""
sehem ya Ibada hiyo ni kama inavyoonekana kwenye video hii hapa chini
Picha zingine hizi hapa

Mama mchungaji Mrs.Carol Evelyn Nzogere akiwa na na watoto Belinda& Brenda wakifuatilia Ibada ya Christmass |
Pastor Zakayo hapa katika moja ya mazoez kabla ya huduma za praise and worship nchini Korea |
Picha zingine hizi hapa