Banner

flash mjap production inc

Monday, March 25, 2013

Matukio katika picha Concert ya John Lisu mjini Dodoma

Ijumaa ya  Tarehe 22 March 2013 Mwanamuziki wa nyimbo za kusifu na kuabudu John Lisu akishirikiana na Crew yake amefanya Concert ya kusifu na kuabudu mjini Dodoma,Concert ambayo iliandaliwa na jumuiya ya wanafunzi waliookoka -TAFES mkoa wa Dodoma concert iliyoanza majira ya saa mbili usiku hadi saa11alfajiri .
Concert hiyo ilifanyika katika ukumbi wa chuo cha mipango (Institute of Rural Development Planning) cha mjini Dodoma na kuhudhuriwa na mamia ya wanavyuo vya mkoani Dodoma pamoja  na wananchi wa mkoa huo.

Matukio yaliyojiri katika Concert hiyo ni kama inavyoonekana hapa chini(picha kwa hisani ya FB page ya John Lisu)


Maandalizi kabla ya Concert Yalikua hivi Wakati wa Concert ikawa hivi